Loading...

PICHA 9 ZA MABINTI WA MARAIS WAREMBO KULIKO WOTE

Loading...
Waafrika wanajulikana kwa urembo unaopendeza na kuvutia macho ya mamilioni ya watu. 

Hata hivyo, watu wengi hawana habari kwamba marais wa nchi za Afrika vile vile wamebarikiwa na mabinti warembo na waliyoelimika.

Hapa tunakuletea orodha ya baadhi ya mabinti hao wa marais Afrika;

1. Zahra Buhari
Zahra Buhari ni binti wa rais wa sasa wa Nigeria, Rais Muhammadu Buhari. Zahra ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Surrey, katika Umoja wa ulaya.

2. Bona Mugabe
Bona ni bintiye Rais Robert Mugabe wa Zimbambwe, ameolewa na mumewe ambaye ni rubani.

3. Brenda Biya
Brenda ni bintiye aliyekua rais wa Cameroon, Paule Biya, Brenda anapenda sana mitandao ya kijamii na anajulikana kwa kuweka picha za maisha yake ya nyumbani na ya shule katika mtandao wa intagram.

4. Faith Elizabeth Sakwe
Faith Elizabeth sakwe ni binti mkubwa wa aliyekuwa rais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan na Dame Patience.

5. Isabel dos santos

Isabel dos santos ni binti wa Rais wa Angola.

6. Malika Bongo Ondimba
Malika Bongo Ondimba ni binti pekee wa rais Ali Bongo Ondimba wa Gabon. Amesifiwa  zaidi na familia yake kuwa na bidii katika kazi zake.

7. Ngina Kenyatta
Ngina ni bintiye Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.

8. Thuthukile Zuma
Thuthukile ni binti mdogo kati ya mabinti wanne wa rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma.

9. Ange Kagame.
Tunatamatisha na Ange ambaye ni bintiye rais wa Rwanda Paul Kagame. 

Hao ni baadhi tu ya mabinti wa marais wa nchi za Afrika tuliowaletea.
Na Catherine Kisese.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
PICHA 9 ZA MABINTI WA MARAIS WAREMBO KULIKO WOTE PICHA 9 ZA MABINTI WA MARAIS WAREMBO KULIKO WOTE Reviewed by By News Reporter on 8/12/2018 06:22:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.