Loading...
Watu 65 wameripotiwa kufariki na wengine kadhaa kulazwa hospitali kutoka na joto kali linaloripotiwa nchini Pakistani.
Joto kali alimeripotiwa Kusini mwa Pakistani na kusababisha maafa. Nyuzi joto nchini Pakistani zimeripotiwa kuongezeka hadi kufikia nyuzi joto 45.
Hali kama hiyo imetangazwa na mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa kuwa hali ya joto itaendelea hadi Mei 23.
Wizara ya afya ametolea wito raia kuchukuwa tahadhari.
Na Mohamedi Makame.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

WATU 65 WAFARIKI KUTOKANA NA JOTO KALI NCHINI PAKISTANI
Reviewed by By News Reporter
on
5/22/2018 01:06:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: