Loading...

MWANAMUZIKI CARDI B AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Loading...
MWANAMUZIKI wa rap, Cardi B  wa Marekani juzi (Jumanne) alijifungua mtoto wa kike katika hospitali moja huko Atlanta na kumpa jina la Kulture Kiari Cephus, Jina hilo ni la baba wa mtoto huyo rapa aitwaye  Offset, ambaye jina lake halisi ni  Kiari Cephus, ambaye alikuwa kando yake wakati wote wa uzazi.

Huyu ni mtoto wa kwanza wa Card B na wa wanne kwa Offest, ambapo wawili hao wanaosemekana walioana kwa siri Septemba mwaka jana, wamepanga kuangusha bonge pati ya ndoa baadaye mwaka huu.
Na Neema Joshua.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MWANAMUZIKI CARDI B AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE MWANAMUZIKI CARDI B AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE Reviewed by By News Reporter on 7/12/2018 02:10:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.