Loading...
![]() |
Alicia Keys (miaka,37) |
Jina Kamili: Alicia Keys [Alicia Augello Cook]
Utaifa: Mmarekani
Shughuli: Mwanamuziki (Mwimbaji na mtunzi)
Kwanini maarufu: Albamu yake ya kwanza "Songs in A Mirror" ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, hata kuuza nakala milioni 12 duniani kote na pia kumpatia tuzo tano za Grammy. Katika kazi zake zote, ameuza zaidi ya milioni 35 na 30 milioni kwa nyimbo moja moja duniani kote.
Tarehe ya kuzaliwa: Mwezi wa kwanza 25, 1981 (miaka 37)
Nyota yake: Ndoo
Mahali alipozaliwa: New York City, jiji la New York, Nchini Marekani.
Maisha ya ndoa: Alicia Keys (akiwa na miaka 31) aliolewa na mtayarishaji muziki na rappa aliyewahi kushinda tuzo za Grammy (33), anayejulikana kama Swizz Beatz na ndoa yao ilifanyika huko katika kisiwa cha Ufaransa kilichopo Corsica.
"Tunasema heri ya kuzaliwa kwa mwanadada Alicia Keys na tunakutakia maisha marefu"
Heri ya kuzaliwa - Alicia Keys (37)
Reviewed by By News Reporter
on
1/25/2018 07:44:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: