Huu ni ukweli wa kuvutia mwaka huu 2018 ni mwaka ambao umefanana na mwaka 1962, kuanzia siku na majuma pia kasoro matukio tu. Hebu tazama picha zifuatazo ujionee mwenyewe kwa macho yako.
Kalenda ya Mwaka 1962
Kalenda ya Mwaka 2018
Je wajua kuwa kalenda ya mwaka 2018 inafanana na ya mwaka 1962?
Reviewed by By News Reporter
on
1/24/2018 07:52:00 AM
Rating: 5
Hakuna maoni: