Loading...

ALICHOJIBU OMMY DIMPOZ BAADA YA KUAMBIA HANA MVUTO NA AMBERLULU

Loading...
Mwimbaji Ommy Dimpoz amejibu kile anachodai Amber Lulu kuwa hana mvuto wala muonekano wa kiume.

Ommy Dimpoz ameuambia mtandao mmoja wa habari hapa nchini kuwa hawezi kuzungumzia hilo kwa sasa na hajui stori hizo zimetoka wapi.

“Mimi sijui chochote na sijui hizo stori zimetoka wapi na zimeanzia wapi lakini kikubwa sisi kama wasanii unajua kila siku vitu ambavyo vinatuzunguka ni mambo ya mitandao, kwa hiyo in short no comment,” amesema.

Wiki iliyopita katika mahojiano na Jonijoo kupitia Now You Know msanii Lulu aliulizwa kati ya Jux na Ommy Dimpoz anaweza kuolewa na nani endapo wakitokeza kwa pamoja.

“Jux sawa, Dimpoz hajakaa kama mwanaume, Ommy Dimpoz hawezi kukaa au kushindana na Jux ni zero, hana mvuto wowote , hamna chochote kinachonivutia kutoka kwake,” alisema Amber Lulu.
Na Fatma Pembe.



Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
ALICHOJIBU OMMY DIMPOZ BAADA YA KUAMBIA HANA MVUTO NA AMBERLULU ALICHOJIBU OMMY DIMPOZ BAADA YA KUAMBIA HANA MVUTO NA AMBERLULU Reviewed by By News Reporter on 4/10/2018 05:47:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.