Loading...

UINGEREZA WAJIONDOA RASMI UMOJA WA ULAYA (EU)

Loading...
Rais wa EU, Donald Tusk amesema viongozi 27 wa Umoja huo waliokutana Mjini Brussels Ubelgiji wamekubali na kupitisha mpango wa Brexit

Amesema Wameidhinisha Makubaliano ya Uingereza kujitoa kwenye Umoja huo pamoja na tamko la Kisiasa la uhusiano wa Ungereza na EU baada ya kujitoa

Kwa sasa Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May anakabiliwa na wakati mgumu wa kwenda kulishawishi Bunge la nchi hiyo ili kukubaliana naye.
Na Catherine Kisese.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
UINGEREZA WAJIONDOA RASMI UMOJA WA ULAYA (EU) UINGEREZA WAJIONDOA RASMI UMOJA WA ULAYA (EU) Reviewed by By News Reporter on 11/25/2018 03:32:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.