Loading...
Waziri Mkuu nchini Luxembourg Xavier Bettel ameandika historia kwa kutangaza mipango maalum ya kurahisisha idara ya usafiri wa umma kwa kuufanya kuwa bila malipo.
Hoja ya Bettel ni kwamba ifikapo mwaka wa 2020, raia wa nchi hiyo hawatahitajika kulipia nauli kwenye mabasi, treni kati ya vyombo vinginevyo vya usafiri wa umma.
Mbali na hoja hiyo ya kuondoa kabisa nauli katika usafiri wa umma, Bettel aliwasilisha mswaada wa kutaka matumizi ya bangi yaweze kuhalalishwa.

Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
LUXEMBOURG: USAFIRI WA UMMA BURE KUFIKIA 2020
Reviewed by By News Reporter
on
12/07/2018 08:16:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: