Loading...

MWANAMITINDO WA TANZANIA 'CALISA' ASHINDA MEDALI YA MR AFRICA

Loading...
Mwanamitindo wa kiume Tanzania, Callisah ameibuka mshindi wa Mister Africa International 2018 katika mashindano yaliyofanyika nchini Nigeria.

Shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nchini Lagos, Nigeria na kushirikisha nchi mbalimbali za Afrika zikiwemo Lesotho, Nigeria, Ghana, Cameroon na nyingine.

Kupitia akaunti ya Instagram ya Mister Africa International, Calisa alitangazwa kushika nafasi ya kwanza.

Calisa katika akaunti yake ya instagram ameandika, "Hii sio yangu, ni yetu. Thank you Tanzania, thank you East Africa,thank you Africa. Asante kwa wote walionisapoti kwenye kila hatua ya kufanikisha hili".
Na Happyness Benedict.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MWANAMITINDO WA TANZANIA 'CALISA' ASHINDA MEDALI YA MR AFRICA MWANAMITINDO WA TANZANIA 'CALISA' ASHINDA MEDALI YA MR AFRICA Reviewed by By News Reporter on 12/04/2018 06:30:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.