Loading...

LORI JINGINE LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO, DEREVA AJULIKANI ALIPO

Loading...
Lori jingine la mafuta limeungua moto katika Kijiji cha Ngadinda Halmashauri ya Madaba Ruvuma, Dereva hajapatikana na inasadikiwa kwamba atakuwa ameungua moto, Kamanda wa Polisi amethibitisha kuungua kwa Lori na kusisitiza “Picha mnazoziona mtandaoni ni feki”

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakimalizia kuzima moto, lori la mafuta aina ya Scania lililosajiwa kwa namba T243BCU na tela T685 DCV mali ya kampuni ya Njombe Filling Station likiwa limetejetea kwa moto baada ya kupata ajali katika kijiji cha Ngadinda katika Halmashauri ya Madaba Wilayani Songea Mkoani Ruvuma.

Dereva wa gari hilo, Hubert Mpete hajapatikana na inasadikiwa kuwa ameteketea katika moto huo.
Na Neema Joshua.
.

.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
LORI JINGINE LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO, DEREVA AJULIKANI ALIPO LORI JINGINE LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO, DEREVA AJULIKANI ALIPO Reviewed by Distri Music on 8/12/2019 11:10:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.