Updates (03:40): Wakazi mjini Kisii washerehekea baada ya Raila Odinga kulishwa kiapo.
Raila akila kiapo ndani ya uwanja wa Uhuru Park
Updates (03:15): HATIMAYE kinara wa NASA Raila Odinga aapishwa kwa Biblia kuwa rais wa wananchi huku vinara wenza Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi na Moses Wetang'ula wakikosekana kwa hafla hiyo. Raila asema Kalonzo ataapishwa baadaye
Updates (02:01PM): Cha kushangaza ni kwamba kuna alama ya mzunguko ambao umetokea karibu na jua, watu wakiamini kwamba Mungu 'amekubali' maombi yao Uhuru Park
Updates(12:59): Gavana wa Mombasa Hassan Joho, mmoja wa viongozi wa chama cha ODM chake Bw Odinga, ni miongoni mwa viongozi ambao wamefunga safari kuelekea uwanja wa Uhuru Park. Ameyasema katika mtandao wake wa twitter.
Updates(02:15):Gavana wa Mombasa Hassan Joho apokonywa walinzi na kitengo cha Flying Squad wakati akielekea Uhuru Park
Updates: Maandalizi ya hafla ya kiapo yaanza. Viti vyapangwa kwenye jukwaa kuu la Uhuru Park.
Updates: Vijana wakiharibu bango la Rais Kenyatta |
Loading...
UPDATES: MATUKIO YANAYOJIRI NCHINI KENYA JUU YA KUAPISHWA KWA RAILA ODINGA
Reviewed by By News Reporter
on
1/30/2018 12:44:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: