Loading...
Mr T Touchez, Amberlulu, Young Dee na Chabau wafunika katika nyimbo ya 'Billionaire' na wamedai nyimbo yao haifananishwi na msanii yoyote wa hiphop aliyetoa nyimbo hivi karibuni na hata kama yupo 'anyoshe kidole juu'.
Katika nyimbo hiyo msanii maarufu kwa jina Amber Lulu mkali wa 'Jini Kisirani' amesikika akiponda wanaume kupenda zaidi chini na wanakila haja ya kubadilika na kuwa na mitazamo mingine ya kimaisha.
Nyimbo hiyo iliyotengeneza katika studio za Touchez Sound imeachiwa rasmi katika leo kupitia chaneli ya mtandao wa Youtube wa Msanii Mr. T Touchez iitwayo 'Mr T Touchez Official'Kusikiliza nyimbo bofya hapa: https://youtu.be/jIR27dGuNkY
EXCLUSIVE: MSANII AMBERLULU KATIKA NYIMBO YA 'BILLIONAIRE' APONDA 'WAPENDA CHINI'.
Reviewed by By News Reporter
on
2/17/2018 10:29:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: