Loading...

HIKI NDIO KIATU CHA VERA SIDIKA ALICHONUNUA KWA THAMANI YA MILIONI 1.2

Loading...
Reality TV staa na Mjasiriamali maarufu kama Vera Sidika amechoma kiasi cha Tshs 1.2Mil pesa za kitanzania kwa kununua kiatu chake kipya.

Kiatu hicho cha thamani kubwa kilichotengenezwa nchini Italia alikirusha kupitia mtandao wake wa Instagram na kuandika "Mtoto wangu mpya huyo".
Kiatu kipya cha Mrembo Sidika
Kwa mujibu wa duka la mitindo la mtandaoni, ModeSense kiatu hicho kilikuwa kikiuzwa dola za kimarekani $1390 sawa na milio 2.8 pesa za Kitanzania, na baadae kupunguza zaidi ya 60% na ndipo msanii alipoamua kununua kiatu hicho.
HIKI NDIO KIATU CHA VERA SIDIKA ALICHONUNUA KWA THAMANI YA MILIONI 1.2 HIKI NDIO KIATU CHA VERA SIDIKA ALICHONUNUA KWA THAMANI YA MILIONI 1.2 Reviewed by By News Reporter on 2/08/2018 03:13:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.