Loading...

MALAKI YA CONDOM KUGAIWA KATIKA MASHINDANO YA OLYMPIC

Loading...
Condom hizo zitakazogaiwa katika michuano ya Olympic
Mashindano ya Olympic katika msimu wa baridi huko nchini Korea Kusini 2018, maarufu kama 'Winter Olympic' yamezinduliwa rasmi jana. Ingawa kuna baadhi ya matukio yameshaanza kufanyika na mechi ya ufunguzi inatarajiwa kuchezwa leo hii.

Karibu zaidi ya wanamichezo 3000 kutoka katika nchi 93 watashindania medali 102 katika michezo 15 tofauti kuanzia Februari 9 - 25, na mwaka huu, zaidi ya 110,000 condom zitagaiwa kwa wachezaji.

Kwa mara ya kwanza condom ziligaiwa mwaka 1988 hapa hapa South Korea ili kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, Sydney mwaka 2000, zaidi ya 90,000 condom ziligaiwa, Rio mwaka 2016, condom zaidi ya 450,000 ziligaiwa kwa wachezaji, zaidi ya 150,000 ziligaiwa huko London na utamaduni huo umekuwa ukiendelea.
MALAKI YA CONDOM KUGAIWA KATIKA MASHINDANO YA OLYMPIC MALAKI YA CONDOM KUGAIWA KATIKA MASHINDANO YA OLYMPIC Reviewed by By News Reporter on 2/09/2018 05:32:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.