Loading...

MASHABIKI WA KIM KARDASHIAN WAPONDA MUONEKANO WAKE MPYA

Loading...
Malkia wa picha za utupu, Kim Kardashian amerusha picha za muonekano wake mpya ambapo ameonekana mwembamba kidogo ukilinganisha na hapo nyuma, na kuperekea mashabiki zake kuponda kuwa hawajavutiwa na muonekano huo.

Mama wa watoto watatu alidai amepunguza shepu yake kwa unene wa inchi 24. Akionekana katika picha akiwa amevaa chupi aina ya bikini na sindilia nyeusi, na shingoni akivaa choki ya silva na nywele amepaka rangi ya Platinum Blonde.

Katika picha aliyoirusha kupitia mtandao wa Instagram aliandika chini yake hivi: "Nilisahau kutuma hii usiku wa jana."
Chini ni picha ikionyesha jinsi mashabiki walivyoponda picha hiyo ya muonekano wake mpya:

MASHABIKI WA KIM KARDASHIAN WAPONDA MUONEKANO WAKE MPYA MASHABIKI WA KIM KARDASHIAN WAPONDA MUONEKANO WAKE MPYA Reviewed by By News Reporter on 2/14/2018 04:00:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.