Loading...
Rais Uhuru Kenyata na rais mwenzake wa Uganda, siku ya Jumamosi walizindua boda katika mpaka wa Busia ili kuongeza ufanisi katika boda ya Kenya na Uganda.
Boda hiyo itaunganisha vituo viwili vya zamani na vyote kufanya kazi kama kituo kimoja, ikiwa pamoja kuimarisha shughuli nyingine za boda kwa kushirikiana baina ya nchi mbili wakati wa kuingia na kutoka.
Inamaanisha kuzidi kuimarika kwa shughuli za uhamiaji zifanyike kwa haraka na rahisi zaidi.
Waheshimiwa wengine waliohudhuria katika halfa hiyo ni Gavana wa Busia Sospeter Ojaamong, Seneta Amos Wako, Msemaji wa EALA Martin Ngonga, Mshiriki wa CAS Ababu Namwamba, CSs Monica Juma kama waziri wa mambo ya nje, Waziri wa Uchukuzi James Macharia na Peter Munya (EAC).
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika Mashariki punde zinapojiri.
UGANDA NA KENYA WAZINDUA BODA YA PAMOJA
Reviewed by By News Reporter
on
2/27/2018 12:06:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: