Loading...

WAZIRI DKT. MWIGULU NCHEMBA AWAPA NEEMA BODA BODA

Loading...
Jana tarehe 09/02/2018 siku ya ijumaa, Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa Mwigulu alivitaka vyombo vya usalama wa raia na barabarani kuweka utaratibu wa kushughulikia kwa haraka makosa yanayofanywa na waendesha piki piki za kubeba abiria maarufu kama 'Boda boda' ili kuondoa msongamano wa piki piki hizo katika vituo vya polisi.

Hatua hiyo imevuta hisia kubwa kwa wafanyabiashara wa boda boda au waendesha boda boda kwakuwa wengi wao piki piki zao zilikuwa zimekamatwa na kurundikwa katika vituo vya polisi bila kujua hatma ya piki piki zao ingawa wengine walikamatwa kwa makosa madogo madogo ya kitrafiki na kuona piki piki zao zinaoza ama kupata kutu katika vituo vya polisi.

Waziri Mwigulu akizungumza na vyombo vya usalama


WAZIRI DKT. MWIGULU NCHEMBA AWAPA NEEMA BODA BODA WAZIRI DKT. MWIGULU NCHEMBA AWAPA NEEMA BODA BODA Reviewed by By News Reporter on 2/10/2018 04:53:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.