Loading...

ALBAMU YA NYIMBO ZA INJILI YA RAPPA SNOOP DOGG YAVUNJA REKODI CHATI ZA BILLBOARD

Loading...
Albamu ya kwanza ya nyimbo za injili ya mwanamuziki Snoop Dogg, inayokwenda kwa jina la "Bible of Love" ambayo ili tambulishwa Machi 16, 2018, imeshikilia nafasi ya kwanza katika chati za Billboard.

Albamu hiyo yenye nyimbo 32 akiwashirikisha mahiri katika nyimbo zenye ladha za kipekee. Moja ya wimbo katika albamu hiyo unaitwa "Word Are Few". Katika wimbo, Snoop Dogg ameelezea uhusiano wake na Mungu akimshirikisha mwimbaji B Slade. Katika video ya wimbo huo Snoop ameonekana akiwa kanisani akiomba huku kwaya ikimsindikiza kwa nyimbo za kuabudu.

Albamu hiyo iliyomtambulisha katika nyimbo za injili imekamata nafasi ya kwanza katika chati za muziki wa wa injili za Billboard ikiuza nakala zaidi ya 3000 katika wiki ya kwanza.
Na Peter Godwin.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
ALBAMU YA NYIMBO ZA INJILI YA RAPPA SNOOP DOGG YAVUNJA REKODI CHATI ZA BILLBOARD ALBAMU YA NYIMBO ZA INJILI YA RAPPA SNOOP DOGG YAVUNJA REKODI CHATI ZA BILLBOARD Reviewed by By News Reporter on 3/28/2018 09:40:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.