Loading...

BEYONCE NA JAY-Z WAONEKANA MITAA YA 'JAMAICA' WAKIENDESHA BODA BODA

Loading...
Rappa Jay-Z na Beyonce kwa sasa wapo katika wa Kingston, Jamaica, ambapo wanafanya kipande cha video ambacho kitatumika katika ziara yao inayokwenda kwa jina la On the Run II

Wawili hao waliwashangaza watu baada ya kutembelea jiji la Trenchtown kwa kutumia pikipiki aina ya boda boda.

Kwa mujibu wa ripoti, Jay-Z na Beyonce watashoot video katika nyumba ya Bob Marley huko Tuff Gong na studio za Jamaica.
Na Neema Joshua.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
BEYONCE NA JAY-Z WAONEKANA MITAA YA 'JAMAICA' WAKIENDESHA BODA BODA BEYONCE NA JAY-Z WAONEKANA MITAA YA 'JAMAICA' WAKIENDESHA BODA BODA Reviewed by By News Reporter on 3/21/2018 12:10:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.