Loading...

CHAMA CHA WANASHERIA WA TANGANYIKA KUFANYA UCHAGUZI

Loading...
Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kuwa kitafanya uchaguzi kwa sheria zilizochapishwa katika gazeti la serikali lakini hakitazingatia vipengele vyote vinavyowagawa wanachama wake.

Hayo yamewekwa wazi na makamu wa rais wa chama hicho Godwin Simba Ngwilimi huku baadhi ya wanachama wakisema hizo ni dalili za serikali kuingilia uhuru wa chombo hicho kilichopo kwa mujibu wa sheria.
Na Geofrey Okechi.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kitaifa punde zinapojiri.
CHAMA CHA WANASHERIA WA TANGANYIKA KUFANYA UCHAGUZI CHAMA CHA WANASHERIA WA TANGANYIKA KUFANYA UCHAGUZI Reviewed by By News Reporter on 3/26/2018 08:39:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.