Loading...

DAVIDO, OLAMIDE NA 9ice NYIMBO ZAO NAZO ZAFUNGIWA NIGERIA

Loading...
Tume ya Utangazaji ya Taifa, nchini Nigeria imezifungia nyimbo za wasanii wa muziki watatu, Olamide, Davido na 9ice kwamba nyimbo zao zimekosa maadili.

Nyimbo hizo ni Wo ya Olamide, rimix ya If ya Davido na Living Things ya 9ice.

Tume hiyo haikuweka wazi ni sababu zipi mahususi zilizoperekea wafungie nyimbo hizo lakini maamuzi yanasema ni baada ya Wizara ya afya kuchukizwa na nyimbo ya Olamide ya Wo ndipo walipoamua kufungia na nyimbo nyingine.
Na Catherine Kisese.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
DAVIDO, OLAMIDE NA 9ice NYIMBO ZAO NAZO ZAFUNGIWA NIGERIA DAVIDO, OLAMIDE NA 9ice NYIMBO ZAO NAZO ZAFUNGIWA NIGERIA Reviewed by By News Reporter on 3/24/2018 10:09:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.