Loading...

HUWEZI KUFANIKISHA NDOTO ZAKO KWA KULALAMIKA NA KUTAFUTA SABABU ZA KUEGEMEA - Na Siri za Utajiri

Loading...
Matokeo CHANYA katika maisha yako yanatokana na JITIHADA chanya katika kushughulikia malengo yako. Tunapochukua hatua kwa VITENDO ndipo tunatengeneza mazingira ya kufanikisha na kufikia MALENGO  yetu.

Huwezi kufanikisha ndoto zako kwa KULALAMIKA na kutafuta sababu za kuegemea. Wengi badala ya kutafuta NJIA mbalimbali za kufanikisha malengo yetu tunajikita zaidi kulalamika, kulaumu na kukimbia uwajibikaji kwa kuwatupia mzigo watu wengine.

Ni wazi kwamba njia pekee ya kujikwamua ni KUKUBALI kubeba JUKUMU katika hali yoyote ile, kulalamika na kutafuta sababu ya kujiepusha na jukumu la kuwajibika hakuwezi kukusaidia kukamilisha malengo yako.

You Deserve The Best!
Vicent Stephen


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata makala wa siri za utajiri punde zinapojiri.
HUWEZI KUFANIKISHA NDOTO ZAKO KWA KULALAMIKA NA KUTAFUTA SABABU ZA KUEGEMEA - Na Siri za Utajiri HUWEZI KUFANIKISHA NDOTO ZAKO KWA KULALAMIKA NA KUTAFUTA SABABU ZA KUEGEMEA - Na Siri za Utajiri Reviewed by By News Reporter on 3/28/2018 01:23:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.