Loading...

JITAHIDI KUWASAIDIA WENGINE ILI UFANIKIWE - Na Siri ya Utajiri

Loading...
Kadri unavyowasaidia wengine katika kuwawezesha kufanikisha MALENGO yao ndivyo pia unazidi kufanikiwa zaidi katika malengo yako.

Kanuni hii ni kweli na inafanya kazi. Maisha yetu tunategemeana kwa namna moja au nyingine. Huwezi ukawa na kila kitu ili kuwasaidia wengine lakini naamini kila mmoja wetu ana KITU cha pekee ambacho ni MSAADA kwa mwingine.

Kadri unavyoweza jitahidi KUWASAIDIA wengine kwa namna yoyote ile ili waweze kufikia malengo yao, kile utakachotoa kitaongezwa zaidi nawe utafanikiwa zaidi.

USHIRIKIANO wa pamoja ni muhimu katika kufanikisha malengo yetu kwa pamoja.

You Deserve The Best!
Vicent Stephen

Tuma neno 'MAKALA' kwenda +255765112259 kupata muendelezo wa makala za siri ya utajiri punde zinapojiri.
JITAHIDI KUWASAIDIA WENGINE ILI UFANIKIWE - Na Siri ya Utajiri JITAHIDI KUWASAIDIA WENGINE ILI UFANIKIWE - Na Siri ya Utajiri Reviewed by By News Reporter on 3/23/2018 10:08:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.