Loading...

JOSE CHAMELEONE AFUNGUKA KUHUSU PICHA ZA UTUPU ZA MKEWE

Loading...
Wakati mtandao ukishambulia picha za utupu za ujauzito za mkewe mwimbaji maarufu Afrika Mashariki, Jose Chameleone ambazo zilipokelewa na watu kupitia mitandao ya kijamii kwa hisia tofauti.

Jose aliamua kufunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kupost picha ya mkewe anayejulikana kwa jina la Daniella na kuandika maneno maneno ya kumsifia kwamba amependeza na yeye ndio mama wa watoto wake pekee.
Daniella kwa sasa yupo mbioni kujifungua na kuwa na jumla ya watoto watano na Jose Chameleone.
Na Neema Joshua

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
JOSE CHAMELEONE AFUNGUKA KUHUSU PICHA ZA UTUPU ZA MKEWE JOSE CHAMELEONE AFUNGUKA KUHUSU PICHA ZA UTUPU ZA MKEWE Reviewed by By News Reporter on 3/23/2018 11:43:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.