Loading...

LIl WAYNE NA BABA WAMALIZA TOFAUTI ZAO, MBIONI KUACHIA "THE CARTER V"

Loading...
Rappa Birdman anatarajia kufanya jambo na mwanae Lil Wayne baada ya mzozo wa kipindi kirefu, na amemuita mwanae kwa mara ya kwanza tangu waanze ugomvi wao.

Wawili hao baba na mwanae walionekana huko LIV siku ya Jumapili kwa mara nyingine. Ni mara ya pili sasa kuonekana wakiwa pamoja wakifurahi pamoja katika klabu ya Miami, lakini kipindi hiki Weezy alionekana akizungumza na Birdman kwa muda wa zaidi ya dakika 40.

Vyanzo vya karibu na rappa hao vilisema hakukua na na mazungumzo Wayne kumshtaki baba yake kwa kumdai dola za kimarekani $51 milioni, walicheka na kutaniani pamoja, walizungumza mambo ya zamani -- na baada ya mazungumzo yote hayo... Birdman aliamua kurusha picha na kuandika "Mimi na Mwanangu."

Na kuhusu maswala ya kesi yao wamemuamuru wanasheria wao kutupilia mbali kesi hiyo na kwa sasa wana mpango wa kutoa albamu ya "The Carter V" kama sehemu ya makubaliano yao.
Na Peter Godwin.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
LIl WAYNE NA BABA WAMALIZA TOFAUTI ZAO, MBIONI KUACHIA "THE CARTER V" LIl WAYNE NA BABA WAMALIZA TOFAUTI ZAO, MBIONI KUACHIA "THE CARTER V" Reviewed by By News Reporter on 3/27/2018 09:03:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.