Loading...

MCHUNGAJI AWASHTUA WAUMINI KWA UCHAFU WAKE MTANDAONI

Loading...
Mchungaji mwanandoa wa jijini New York, Marekani, Tommy Clark amewaacha wafuasi na wanachama wa kanisa lake katika hali ya sintofahamu baada ya kutuma picha kwa bahati mbaya katika mtandao wake wa Facebook akimbusu mwanaume mmoja.

Kanisa hilo lililopigwa na butwaa walipata picha hizo za mchungaji haraka. Na mara moja alifunga akaunti zake zote katika mitandao ya kijamii baada ya kugundua kosa hilo. Huku wengine wakidai labda huenda akaunti yake ilidukuliwa.
Picha nyingine...

Tuma neno 'GOSSIP' kwenda +255765112259 kupata habari za gossip punde zinapojiri.
MCHUNGAJI AWASHTUA WAUMINI KWA UCHAFU WAKE MTANDAONI MCHUNGAJI AWASHTUA WAUMINI KWA UCHAFU WAKE MTANDAONI Reviewed by By News Reporter on 3/15/2018 10:05:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.