Loading...
Mkufunzi katika Chuo Kikuu cha Moi Duncan Omanga ameshinda tuzo ya utafiti wa mtandao wa Facebook akiwashinda washiriki kutoka kona zote za dunia.
Tuzo hiyo ilitolewa na mtandao mkubwa wa kijamii wenye wafuasi wengi zaidi duniani chini ya Mradi wa Utafiti wa Kulinda na Kujali wateja wa Facebook.
Dkt Omanga ni mkuu wa idara wa masomo ya Uchapishaji na Vyombo vya Habari, Shule ya Sayansi ya Habari.
Tuzo hiyo aliyoshinda ina thamani ya dola za Kimarekani 50 elfu sawa na pesa za kikenya (Sh5 Milioni) na zitatumika kufanyia tafiti jinsi ya mtandao wa Facebook unavyogusa maisha ya watu.
Fedha hizo zitatumika kufadhili utafita atakaofanya juu ya namna gani mtandao wa Facebook unatamika kupambana na uhalifu.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za teknolojia punde zinapojiri.
MKENYA ASHINDA TUZO YA UTAFITI YA MTANDAO WA FACEBOOK
Reviewed by By News Reporter
on
3/15/2018 10:48:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: