Loading...

MTINDO MPYA WA KUVALISHANA PETE ZA UCHUMBA AU NDOA

Loading...
Watu wengi wameanza kutumia mtindo mpya ya uvaaji wa pete maarufu kama pete ya maisha, ambapo mtu anatoboa kidole cha chanda na pete huingizwa katika ngozi moja kwa moja badala ya kukaa juu ya ngozi ya kidole.

Wakiacha mtindo wa kuvaa pete ndoa au uchumba ambayo unaweza kuivua wakati wowote, wameamua kutumia pete ya maisha ambao huingia katika ngozi na kubaikia katika kidole muda wote.

Lakini wataalam wameshauri mtindo huo wa uvalishanaji pete unaweza ukawa na madhara kwa mvaaji kama kansa ya ngozi.
Na Alfredy Mbaningo


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za afya punde zinapojiri.
MTINDO MPYA WA KUVALISHANA PETE ZA UCHUMBA AU NDOA MTINDO MPYA WA KUVALISHANA PETE ZA UCHUMBA AU NDOA Reviewed by By News Reporter on 3/24/2018 10:43:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.