Loading...

MWANAMKE MMOJA AFANYA SHEREHE KUBWA BAADA YA KUPEWA TALAKA NA MUME WAKE

Loading...
Mwanamke aliyeonekana kufurahia talaka yake kwa kuandaa sherehe ili afurahie kwa kutoka kwa mume wake.

Cinderella Nana, mwanamke mwenye asili ya Misri na mkazi wa Marekani, ambaye aliamua kusherehekea mwisho wake na mumewe aliyedai ni msumbufu na katili hajawahi kuona, stori yake imeenea kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii na kushangaza watu.

Nana aliamua kupandisha kipande cha video na baadhi katika mtandao wa kijamii wa facebook vilivyoonyesha ushahidi kwamba kweli aliandaa sherehe hiyo na kufurahia na watu mbali mbali wa karibu yake.

Aliandika maneno haya: "Sherehe yangu ya talaka kwa kuachana na mume wangu, asante Mungu. Hii ni siku nzuri katika maisha yangu."
Na Neema Joshua.
MWANAMKE MMOJA AFANYA SHEREHE KUBWA BAADA YA KUPEWA TALAKA NA MUME WAKE MWANAMKE MMOJA AFANYA SHEREHE KUBWA BAADA YA KUPEWA TALAKA NA MUME WAKE Reviewed by By News Reporter on 3/20/2018 01:22:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.