Loading...

MWANAMUZIKI PITBULL KUTEULIWA BALOZI WA MAJI SAFI ULIMWENGUNI

Loading...
Pitbull, nyota wa kimataifa wa muziki wa miondoko ya Pop anataraji kuteuliwa na shirika la maji la Umoja wa Mataifa kuwa balozi wa maji safi ulimwenguni. Pitbull atateuliwa rasmi kuwa balozi wa maji safi ulimwenguni kesho Machi 22 mjini New York.

Pitbull ataelekea katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa  kuzungumzia suala zima la matatizo ya maji safi ulimwenguni katila kisu ya kimataifa ya maji. Pitbull ambae ni mshindi wa tuzo ya Grammy anataraji pia kupokea tuzo ya kimataifa ya kinara wa maji kwa juhudi zake katika masuala ya kibinadamu ulimwenguni.

Pitbull kuteuliwa kuwa balozi wa maji safi ulimwenguni.

Pitbull kupitia umaarufu wake wa kimataifa, anaongoza kampeni kupitia mitandao ya kijamii inayolenga kuhamasisha  uelewa wa tatizo la maji ulimwenguni.
Na Neema Joshua

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
MWANAMUZIKI PITBULL KUTEULIWA BALOZI WA MAJI SAFI ULIMWENGUNI MWANAMUZIKI PITBULL KUTEULIWA BALOZI WA MAJI SAFI ULIMWENGUNI Reviewed by By News Reporter on 3/21/2018 02:50:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.