Loading...

SEHEMU ZA BATA WEEKEND

Loading...
LEGEND ARE BORN IN MARCH
Lini: Jumamosi, Machi 17
Mahali: Club Legends
Kwanini: Njoo na ufurahie na baadhi
ya ma Dj's wakubwa na wakali wa ngoma
za ndani na nje.

FRIDAY NIGHT
Lini: Ijumaa, Machi 16
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Ndio kiwanja kitakacho bamba
mwisho wiki huku ukitazama Dar's Skyline

SAMAKI SAMAKI
Lini: Jumamosi, Machi 17
Mahali: Masaki
Kwanini: Wakati wa kutoa uchovu wa
wiki nzima baada kazi nzito ya wiki nzima

SATURDAY EXPERIENCE
Lini: Jumamosi, Machi 17
Mahali: Mint Club Bukoba
Kwanini: Klabu ya Mint inakupa fursa
ya ladha ya mkoa wa Bukoba na mazingira yake.

Na Geofrey Okechi - Dar es salaam.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
SEHEMU ZA BATA WEEKEND SEHEMU ZA BATA WEEKEND Reviewed by By News Reporter on 3/16/2018 03:26:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.