Loading...
Rais wa Marekani Donald Trump huenda akashtakiwa kwa kosa la kukiuka katiba ya Marekani. Ruhusu kuhusu suala hilo imetolewa na hakimu mmoja Maryland. Muendesha mashataka huyo ametupilia mbali rufaa kuhusu ukiukwaji wa katiba ya Marekani.
Uamuzi huo unaweza kupelekea uchunguzi wa mali za wageni na mashirika ya Trump Maryland na Washington. Rais wa Marekani anatuhumiwa kutumia wadhifa wake anaotumia kwa kunufaisha mashirika yake. Urusi ilituhumiwa kudukua na kuingilia uchaguzi mkuu uliofanyika Marekani ambapo Donald Trump iliibuka mshindi.
Mashtaka yanayomkabili rais wa Marekani ni pamoja na rushwa, udukuzi wa Urusi katika uchaguzi wa mwaka 2016 ikiwemo pia uhusiano nje ya ndoa na Stephanie Clifford mwaka 2006.
Iwapo kesi itafunguliwa inaweza kupelekea Trump kuvuliwa wadhifa wake.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.

TRUMP HUENDA AKASHTAKIWA KWA KUKIUKA KATIBA YA MAREKANI
Reviewed by By News Reporter
on
3/29/2018 12:02:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: