Loading...

UMOJA WA ULAYA WAPONGEZA NCHI YA BURUNDI KWA KUWAACHIA HURU WAFUNGWA 740

Loading...
Umoja wa Ulaya wapongeza serikali ya Burundi kwa kuwaacha huru wafungwa wapatao 740 waliokuwa wamekamatwa tangu mwaka 2015  kufuatia ghasia na vurugu zilizosababishwa na maandamano na jaribio la mapinduzi.
Ujumbe maalumu wa Umoja wa Ulaya nchini Burundi amepongeza uamuzi wa wizara ya sheria nchini Burundi kwa kuwaacha huru wafungwa 740 waliokuwa wamekamtwa katika matukio tofauti waliofuatia jaribio la mapinduzi. Miongoni mwa watu walio achiwa huru, 450 walihusika na matukio ya mwaka 2015.
Taarifa hiyo ilitolewa katika tovuti ya Umoja wa Ulaya na kuomba vijana wachwe huru vijana wote waliokamatwa katika maandamano ya mwaka 2015.
Na Hamis Fakhi - Burundi

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika Mashariki punde zinapojiri.
UMOJA WA ULAYA WAPONGEZA NCHI YA BURUNDI KWA KUWAACHIA HURU WAFUNGWA 740 UMOJA WA ULAYA WAPONGEZA NCHI YA BURUNDI KWA KUWAACHIA HURU WAFUNGWA 740 Reviewed by By News Reporter on 3/23/2018 08:58:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.