Loading...
BACK 2 BACK FRIDAYS
Lini: Ijumaa, Machi 2
Mahali: Elements
Kwanini: DJ Sinyorita atakuwa kwenye
mashine kukupa burudani isiyo ya kifani na
kuweza kufurahia mapumziko yako ya wiki nzima.
FRIDAY TURN UP
Lini: Ijumaa, Machi 2
Mahali: Club Next Door
Kwanini: Ni wakati wa kupumzisha akili yako
baada ya kazi ngumu uliyofanya kipindi
cha wiki nzima ukifurahi na marafiki katika
Klabu ya kijanja jijini Dar.
JEANS AND T-SHIRT EVOLUTION
Lini: Jumapili, Machi 4
Mahali: Makumbusho ya Taifa
Kwanini: Tukio la kila mwezi lililosheheni
maonyesho ya kibunifu kama muziki wa
moja kwa moja, Hip Hop, Mashahiri, Kucheza
Mitindo na aina kibao za sanaa.
EASTER YOUTH CAMP
Lini: Jumatano, Machi 7
Mahali: Arusha, Tanzania
Kwanini: Furahia likizo fupi pamoja na familia
na marafiki.
Tuma neno 'BURUDANI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
VIWANJA VYA BATA WEEKEND HII
Reviewed by By News Reporter
on
3/02/2018 11:00:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: