Loading...

WAKIMBIZI 7 WAFARIKI BAADA YA BOTI LAO KUZAMA ZIWA ALBERT DRC CONGO

Loading...
Wakimbizi  7 kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wafariki baada yaboti yao kuzama katika ziwa Albert Alkhamis  mpakani mwa Jamhuri ya kidemokrasia  ya Kongo na Uganda.

Kwa mujibu wa shirika la Madaktari wasiokuwa na Mipaka likiwakilishwa na Emiliane Woerk ni kwamba boti hiyo ilizama kutokana na mawimbi makubwa yaliyosababishwa na upepo.

Wakimbizi hao walikuwa wakikimbia mapigano yanayoripotiwa Ituri tangu mwishoni mwa Disemba mwaka 2017 Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Wakimbizi  30 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefariki kwa kipindupindu katika kambi nchini Uganda.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
WAKIMBIZI 7 WAFARIKI BAADA YA BOTI LAO KUZAMA ZIWA ALBERT DRC CONGO WAKIMBIZI 7 WAFARIKI BAADA YA BOTI LAO KUZAMA ZIWA ALBERT DRC CONGO Reviewed by By News Reporter on 3/10/2018 04:46:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.