Loading...

WATU 6 WAFARIKI KATIKA MAPOROMOKO YA ARDHI NCHINI NIGERIA

Loading...
Watu 6 waripotiwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika maporomoko ya ardhi yaliotokea Kaskazini mwa Nigeria. Maporomoko hayo yametokea baada ya mvua kali kunyesha katika eneo hilo.  

Kulingana na taarifa zilizotolewa na shirika la habari la Nigeria la NAN, mvua zilizonyesha Sokoto ndizo zilizobabisha maporomoko hayo. Majumba kadhaa pia yameporomoka kutokana na mvua hizo.
Na Catherine Kisese.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
WATU 6 WAFARIKI KATIKA MAPOROMOKO YA ARDHI NCHINI NIGERIA WATU 6 WAFARIKI KATIKA MAPOROMOKO YA ARDHI NCHINI NIGERIA Reviewed by By News Reporter on 3/27/2018 09:33:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.