Loading...
Kumetokea malalamiko mengi sana kutokana na Zari kuweza pata dili kubwa ya kampuni huku madada mastaa wa hapa bongo wakiambulia patupu.
Hii imeweza kuzua maneno mengi kwa jamii huku wengine wakisema Mastaa wa hapa hawajiheshimu kwa kukaa nusu uchi…kuwa na skendo za hapa na pale ndo maana zari anajizolea pesa za madili tu.
Yasemekana katika hii orodha ya mastaa wa kike bongo ni wawili tu ambao ni Monalisa na Esha buheti ndo wenye sifa za kupata dili nono ila wengine skendo zinawachafua.
Na Neema Joshua.
YASEMEKANA NI MASTAA WAWILI TU WENYE UWEZO WA KUPATA DILI KAMA ZARI KWENYE PRODHA HII
Reviewed by By News Reporter
on
3/30/2018 08:59:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: