Loading...

ZLATAN IBRAHIMOVIC AONDOKA MANCHESTER UNITED

Loading...
Mchezaji nyota wa kimataifa Zlatan Ibrahimovic aondoka katika timu ya Manchester United ya Uingereza na kujielekeza nchini Marekani mbapo amejiunga na timu ya LA Galaxy ya Los Angeles nchini Marekani.

Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 36 alijiunga na timu ya Manchester United  tangu mwaka 2016 alifunga magoli 28 katika msimu wa mwaka 2016 na mwaka 2017.  José Mourinho amethibitisha taarifa hiyo kuhusu uhamisho wa Zlatan Ibrahimovic kutoka Manchester United  na kujşunga na timu ya L.A Galaxy.
Na Neema Joshua.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za michezo punde zinapojiri.
ZLATAN IBRAHIMOVIC AONDOKA MANCHESTER UNITED ZLATAN IBRAHIMOVIC AONDOKA MANCHESTER UNITED Reviewed by By News Reporter on 3/24/2018 08:50:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.