Loading...

ALIKIBA AFUNGA NDOA YA KIFAHARI MOMBASA, KENYA

Loading...
MWANAMUZIKI mahiri wa Bongofleva nchini Ali Kiba, leo amefunga ndoa na Binti wa Kimombasa ajulikanae kwa jina la Bi.Amina Khalef, ndoa hiyo imefungwa katika msikiti wa Ummu Kulthum uliopo mjini Mombasa nchini Kenya,ambapo hafla hiyo imehudhuriwa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo mashuhuri .Aidha taarifa zinaeleza kuwa Harusi hiyo itakayokuwa ya aina yake itarushwa LIVE  na kituo cha televisheni ya AZAM jioni ya leo.
Na Neema Joshua.



Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
ALIKIBA AFUNGA NDOA YA KIFAHARI MOMBASA, KENYA ALIKIBA AFUNGA NDOA YA KIFAHARI MOMBASA, KENYA Reviewed by By News Reporter on 4/19/2018 02:13:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.