Basi la Kampuni ya Maqadir lililokuwa linatoka jijini Tanga kwenda Kijiji cha Mtae, Wilaya ya Lushoto mkoani humo, limeanguka asubuhi leo Aprili 10, 2018 katikati ya barabara kuu ya Segera-Tanga katika kijiji cha Mpakani, kata ya Kerenge wilayani Muheza mkoani Tanga.
Loading...
serif;">
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Edward Bukombe, majeruhi wa ajali hiyo ni mmoja na bado hajatambuliwa ambapo chanzo cha ajali hiyo, pia bado hakijafahamika.
Na Janeth Bushubo.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za matukio punde zinapojiri.

BASI LA KAMPUNI YA MAQADIR LAPATA AJALI TANGA
Reviewed by By News Reporter
on
4/10/2018 12:56:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: