Loading...

JACK PEMBA HATIMYE AFUNGUKA KUHUSU VIDEO YAKE YA NGONO ILIYOVUJA

Loading...
Siku kadhaa kupita imeonekana video ya ngono ikimuonesha msichana mrembo aliyetambulika kwa jina la Honey Suleman akishiriki ngono na mwanaume aliyedaiwa ni mfanyabiashara maarufu, Jack Pemba.

Baada ya kashfa hizo, Pemba hatimaye amefunguka kuhusiana na video hiyo ya ngono inayosambaa mitandaoni na kusema sio yeye aliyehusika kuisambaza.

Msichana mrembo sura yake ambayo ilitambulika katika video hiyo aliyejulikana kama Honey Suleman alithibitisha kwamba yeye ndio alikuwepo katika video hiyo na kusema kuwa mwanaume aliyeonekana katika video ni Jack Pemba. Hata hivyo, sura ya mwanaume huyo katika video haikuonekana na Pemba alidai sio yeye.
Jack Pemba kushoto, Honey Suleman kulia.


"Nataka kusema kwa herufi kubwa kuwa SIYO MIMI katika kipande hicho cha video kinachosambazwa mitandaoni," alisema Pemba.

Pia alikanusha post iliyosambaa kupitia mtandao wa Facebook kuwa "Jack Pemba" ameomba radhi kuhusu kusambaa kwa video yake ya ngono.

Kusambaa kwa video hiyo kumeusishwa na kesi aliyopo mahakamani na mfanyabiashara mwenzake, ambapo yeye hakupenda kuizungumzia kwa kuwa ni kinyume na utaratibu na mahakama kama alivyoshauriwa na wakili wake.

Amedai kwa sasa yupo nje ya nchi kibiashara na atarudi kuelezea kiundani maswala hayo.
JACK PEMBA HATIMYE AFUNGUKA KUHUSU VIDEO YAKE YA NGONO ILIYOVUJA JACK PEMBA HATIMYE AFUNGUKA KUHUSU VIDEO YAKE YA NGONO ILIYOVUJA Reviewed by By News Reporter on 4/27/2018 11:28:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.