Loading...

JIKINGE NA UGONJWA WA KISUKARI

Loading...
Jua namna ya Kujikinga na Ugonjwa Kisukari:

1. Kila mlo uwe na Matunda na Mbogamboga.
2. Usikamue matunda na usikoboe nafaka
3. Sukari kwenye chakula au vinywaji isizidi vijiko vitano kwa siku
4. Jishugulishe hadi kutoka jasho au moyo kwenda mbio angalau kwa nusu saa kila siku
5. Kuna na Unaouwiana na Urefu Wako (uzito (kg) usizidi urefu wako (mita) )
6. Punguza au acha kabisa matumizi ya kilevi
7. Usitumie tumbaku (kuvuta, kunusa au kutafuna)
8. Epuka msongo wa mawazo kwa kujiwekea malengo kadri ya uwezo wako
9. Pata usingizi Angalau saa 7 kila siku.

Na Catherine Kisese.



Tuma neno 'AFYA' kwenda +255765112259 kupata habari za afya punde zinapojiri.
JIKINGE NA UGONJWA WA KISUKARI JIKINGE NA UGONJWA WA KISUKARI Reviewed by By News Reporter on 4/26/2018 08:09:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.