Loading...

KILA MTU ANAUWEZO NDANI YAKE ILA TUNAZIADIANA NAMNA YA KUUTUMIA UWEZO HUO - Na Siri ya Utajiri

Loading...
Les Brown mzungumzaji na mhamasishaji wa kimataifa katika masuala ya mafanikio aliwahi kusema "sehemu yenye utajiri mkubwa hapa duniani si sehemu ambayo  chini kuna madini mbalimbali ya thamani bali ni sehemu ile ambayo watu huzikwa (Makaburini). Katika sehemu hii watu wenye uwezo mkubwa, vipaji vikubwa, vipawa na karama mbalimbali za kutisha wamezikwa na vipaji vyao, karama zao, na uwezo wao  ambao hawakuwahi kuamua kuutumia wakati wakiwa hai duniani.

Kila mtu anauwezo fulani ndani yake aliowekewa ambao akiamua na kukusudia kuutumia kwa nguvu na jitihada zote ,matunda yake ni makubwa kwake mwenyewe na katika jamii.

Hebu  jichunguze, unaona nini ndani yako? Usiwe na mashaka wala hofu juu ya hicho unachokiona, jamii inakusubiri kwani hicho ndicho ulikusudiwa kukileta katika jamii. Usiruhusu kutoweka duniani kabla hujatumia na kuonesha kile kilichowekwa ndani yako.

You Deserve The Best!
Vicent Stephen


Tuma neno 'MAKALA' kwenda +255765112259 kupata habari za makala za utajiri punde zinapojiri.
KILA MTU ANAUWEZO NDANI YAKE ILA TUNAZIADIANA NAMNA YA KUUTUMIA UWEZO HUO - Na Siri ya Utajiri KILA MTU ANAUWEZO NDANI YAKE ILA TUNAZIADIANA NAMNA YA KUUTUMIA UWEZO HUO - Na Siri ya Utajiri Reviewed by By News Reporter on 4/13/2018 12:20:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.