Loading...

MABASI YA MWENDO KASI YASITISHA HUDUMA KUTOKANA MAFURIKO YA JANGWANI

Loading...
Kampuni ya mabasi yaendayo kasi, UDART imeshitisha huduma ya usafirishaji kati kati ya jiji kutokana na kuaribika kwa miundu mbinu katika bara bara ya Morogoro jijini Dar es salaam.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa UDART, Bw. Deus Bunganywa, amesema katika kauli yake leo Jumapili, Aprili 15, 2018, walifikia muafaka wa kusitisha huduma ya kwenda na kurudi katikati ya jiji baada ya kipande cha barabara ya Morogoro maeneo ya jangwani kufunikwa na maji kutokana na mafuriko ya mto Msimbazi.

Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) ilitangaza Ijumaa kwamba Dar es salaam, Tanga, Morogoro, Lindi, Mtwara, Unguja na Pemba meoneo hayo yatatawaliwa na mvua kubwa kwa siku nne mfululizo.
Na Geofrey Okechi.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
MABASI YA MWENDO KASI YASITISHA HUDUMA KUTOKANA MAFURIKO YA JANGWANI MABASI YA MWENDO KASI YASITISHA HUDUMA KUTOKANA MAFURIKO YA JANGWANI Reviewed by By News Reporter on 4/15/2018 10:06:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.