Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha Januari hadi Machi, baada ya harakati za kujenga ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite, Sh714 milioni zimekusanywa kutokana na mauzo ya madini hayo.
Waziri Mkuu ameyasema hayo jana Aprili 10 wakati akifanya majumuisho ya bajeti ya wizara yake, bungeni.
Waziri Mkuu ameyasema hayo jana Aprili 10 wakati akifanya majumuisho ya bajeti ya wizara yake, bungeni.
Loading...
uot; , sans-serif;">Amesema kabla ya ujenzi wa ukuta zaidi ya asilimia 40 ya uzalishaji ilikuwa inapotea.
“Ukuta wa Mirerani utasaidia kulinda rasilimali zote. Kabla ya ujenzi wa ukuta zaidi ya asilimia 40 ya uzalishaji ilikuwa inapotea sasa tutayadhibiti mapato yote.” Amesema.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kitaifa punde zinapojiri.

MAJALIWA ASEMA UKUTA WA MIRERANI WAONGEZA MAPATO YA MADINI YA TANZANITE
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 06:42:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: