Loading...
Mwanamitindo na mpenzi wake mshambuliaji nyota wa klabu ya Real Madrid C.Ronaldo, Georgina Rodriguez kupitia ukurasa wake wa Instagrama aliamua kupost picha akiwa pamoja na mpenzi wa huyo kwa kuandika 'Hakuna Matata'.
Maneno hayo ya kiswahili ambayo yameonekana yakitumiwa sana na wageni hasa watu wa magharibi wakiamini ndio neno maarufu na rahisi kuanza nalo ili uonekane kama unajua lugha hiyo.
Tumeona watalii wengi wakija katika nchi za Afrika huwa na mtindo wa kusema msemo wenye maana kuwa 'kuna amani'. Ila mpenzi huyo wa christian Ronaldo amezua mjadala mtandaoni kuwa hiyo lugha ameisikia wapi au ndio kiswahili kimeanza kuzungumzwa ulimwengu mzima?.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
Maneno hayo ya kiswahili ambayo yameonekana yakitumiwa sana na wageni hasa watu wa magharibi wakiamini ndio neno maarufu na rahisi kuanza nalo ili uonekane kama unajua lugha hiyo.
Tumeona watalii wengi wakija katika nchi za Afrika huwa na mtindo wa kusema msemo wenye maana kuwa 'kuna amani'. Ila mpenzi huyo wa christian Ronaldo amezua mjadala mtandaoni kuwa hiyo lugha ameisikia wapi au ndio kiswahili kimeanza kuzungumzwa ulimwengu mzima?.
Na Neema Joshua.
MPENZI WA CHRISTIAN RONALDO APOST INSTAGRAM KWA KUTUMIA LUGHA YA KISWAHILI
Reviewed by By News Reporter
on
4/02/2018 11:50:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: