Loading...
Rapa Prezzo ametangaza rasmi kumaliza bifu yake na mwanamuziki na mbunge Jaguar.
'King of Bling' Jackson Ngechu, almaarufu CMB Prezzo na mwanamuziki mbunge wameamua kuweka tofauti zao kando baada ya kutofautiana kwa muda mrefu.
Wawili hao walionekana walionekana kutambiana na kushindana mitandaoni huku kila mmoja akitaka kugewa heshima na mwenzake kwamba nani ani tajiri na anayevaa kuliko mwingine.
Katika hatua isiyotarajiwa Prezzo siku ya Ijumaa, Aprili 6, alitangaza kuachana na bifu kati yao wakati wa mahojiano ya televisheni.
Wakati wa mahojiano katika kipindi cha 10 over 10, Citizen TV, mwanamuziki huyo alisema hana shida yoyote na mtu yoyote kuanzia wapenzi wake wa zamani hata na mpinzani wake Jaguar.
"Sina shida yoyote na mtu yoyote, nimebadilika, niko shwari na kila mtu, hata jaguar," alisema Prezzo.
Alisema amebadilika baada ya kuwa baba, Prezzo aliongeza kuwa bifu kati yake na Jaguar haikuongeza chochote kile, sio kipato wala kikazi kwahiyo haina haja ya kuendeleza bifu hiyo. Hatua ya Prezzo ilishangaza wengi waliofikiria kuwa wawili hao wangeendelea kuwa maadui daima.
Ila Jaguar hajajibu chochote mpaka sasa baada ya Prezzo kuyasema hayo.
Na Mohammed Makame.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

PREZZO NA JAGUAR WAMALIZA BIFU YAO YA MUDA MREFU
Reviewed by By News Reporter
on
4/10/2018 07:19:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: