Loading...

ROSA REE ASEMA ANACHUKIA KUTONGOZWA NA WANAUME

Loading...
Rapa wa kike ambaye anafanya vizuri kwa sasa kupitia anga la muziki wa Bongo Flava, Rose Robart ‘Rose Ree’, amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho hakipendi kama kutongozwa.

Akihojiwa na moja ya mtandao wa habari hapa nchini, Rosa Ree alisema kuwa mwanaume akimtongoza hujisikia vibaya na anaweza kumchukia mno, anachohitaji ni kuwa karibu na wanaume kwa ajili ya kazi na kupiga nao stori mbalimbali.

“Yaani mwanaume akinitongoza sipendi napenda kama tunakuwa marafiki tu wa muda mrefu kama ikitokea kupendana tutapendana mbele ya safari na si vinginevyo, akinitongoza mapema naona kama ananitamani tu basi alafu animwage,” alisema Rosa Ree.
Na Fatma Pembe.



Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
ROSA REE ASEMA ANACHUKIA KUTONGOZWA NA WANAUME ROSA REE ASEMA ANACHUKIA KUTONGOZWA NA WANAUME Reviewed by By News Reporter on 4/12/2018 09:24:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.