Loading...
Judy Anyango amezua gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada kupost picha zake ambazo watu wangi wamedai kuwa yeye ndio mwenye shepu kuliko hata Vera Sidika ambaye aliaminika kwa muda mrefu kwamba ndio mwenye kiuno kikubwa kuliko mwanamke yeyote.
Sosholaiti huyo mpya ni mfanyabaishara pia anasadikika kumiliki pesa nyingi kwa kuwa anaishi maisha ya kifahari na ametembea karibu ulimwengu mzima. Tazama picha zake hapa...
Sosholaiti huyo mpya ni mfanyabaishara pia anasadikika kumiliki pesa nyingi kwa kuwa anaishi maisha ya kifahari na ametembea karibu ulimwengu mzima. Tazama picha zake hapa...
Na Neema Joshua.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
SOSHOLAITI MWENYE SHEPU KUMZIDI VERA SIDIKA PICHA ZAKE ZAZUA GUMZO MITANDAONI
Reviewed by By News Reporter
on
4/10/2018 08:09:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: