Loading...
i7VEqaW0/s1600/maadhimisho+ya+kumi.PNG">
Chuo kikuu Cha Dar es Salaam kinawakaribisha watanzania wote kwenye Maadhimisho ya Tamasha la kumi la kimajumui la Mwalimu J. K. Nyerere
Mada kuu ni "Wimbi la Uporaji Raslimali Afrika: Wanyonge wanajikwamuaje?
Ukumbi ni Nkrumah Hall Chuo Kikuu UDSM, kesho Jumatano hadi Ijumaa.
Mada kuu ni "Wimbi la Uporaji Raslimali Afrika: Wanyonge wanajikwamuaje?
Ukumbi ni Nkrumah Hall Chuo Kikuu UDSM, kesho Jumatano hadi Ijumaa.
TAARIFA KWA UMMA
Reviewed by By News Reporter
on
4/10/2018 03:19:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: